1 Timothy 6:18

18 aWaagize watende mema, wawe matajiri katika matendo mema, pia wawe wakarimu na walio tayari kushiriki mali zao na wengine.
Copyright information for SwhNEN